Fomu ya kushiriki Mafunzo ya Awali ya Uongozi (PTC) |
Fomu ya Kushiriki Mafunzo ya "WOOD BADGE" |
Watu wazima wanaopenda Skauti na Skauti wenye umri kuanzia miaka 18 ambao hawajapata mafunzo ya uongozi ya awali wanayo nafasi ya kushiriki mafunzo haya. mafunzo ya Awali (PTC) yataanza tarehe 13 mpaka 16 mwezi wa Juni, 2013. Na mafunzo ya WOOD BADGE yataanza tarehe 15 mpaka 25 mwezi Juni, 2013. Fomu za kushiriki mafunzo hayo zinapatikana sasa.
Kwa zaida tembelea: http://www.facebook.com/groups/171718552973513/