Mabomu ya Gongolamboto
Tarehe 17 Februari 2011, Siku ya Alhamisi
Kama ilivyo kwa Motto wa Skauti, "Uwe tayari" ndivyo ilivyo kivitendo, Skauti walikuwa wa kwanza na wamojawapo katika kujitoa na kusaidia kwa waathirika na waanga wa maafa ya kulipuka kwa mabomu Gongolamboto.
Maskauti wakiwasaidia watoto walio potewa na wazazi wao baada ya mabomu kulipuka-Gongolamboto.
Nyumba iliyo athirika kwa bomu
Kipande cha bomu kilicho anguka mtaani.
This Blog Powered by:
Dar es Salaam Local Scout Association
Dar Es Salaam, Tanzania.