|
Rais Dkt.Jakaya Kikwete akimuapisha Skauti Mkuu Mhe. Mwantum Mahiza Ikulu Juni 24, 2013 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemuapishwa Skauti Mkuu wa Tanzania siku ya Juma tatu tarehe 24 Juni, 2013 Ikulu jijini Dar Es Salaam.
Kuapishwa kwa Skauti Mkuu ni tukio kubwa lililokuwa linasubiriwa na skauti Tanzania, kwani chama kimekaa kwa muda mrefu bila kuwa na kiongozi, pamoja na hilo, kuapishwa kwa Mhe. Mwantum Mahiza kuwa Skauti Mkuu ni historia kwa Skauti Tanzania kwani yeye ndiyo mwanamke wa kwanza kushika nafasi hiyo kwa Tanzania.
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi baada ya kumuapishwa Skauti Mkuu Mhe. Mwantum Mahiza Ikulu jijini Dar Es Salaam, Juni 24, 2013. |
|
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi vitendea kazi baada ya kumwapisha Skauti Mkuu Mhe. Mwantum Mahiza ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani. |
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Skauti Mkuu Mhe. Mwantum Mahiza baada ya kumwapishwa Ikulu jijini Dar Es Salaam Juni 24, 2013 |
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na Skauti Mkuu wa Chama cha
Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza baada ya kumuapisha Ikulu jijini
Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013 |
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri Mkuu Mstaafu Dkt Salim
Ahmed Salim, Jaji Kiongozi Fakih Jundu na Skauti Mkuu wa Chama cha
Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza baada ya kumuapisha Ikulu jijini
Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013 |
|
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti
Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza pamoja na viongozi wa maskatu na skauti
baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013 |
Katika hafla hiyo ya kumwapishwa Skauti Mkuu pia iliudhuliwa na Skauti Wabunge wa Tanzania wakiongozwa na Mwenyekiti wao Mhe. Abdulkarim Shah (Mbunge wa Mafia)
|
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti
Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza pamoja na waheshimiwa wabunge ambao ni
maskauti baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013 |
|
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na skauti Ismail Aden Rageh na
wabunge maskauti Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013 |
|
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti
Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza na viongozi wa skauti nchini baada ya
kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 24, 2013 |
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akivishwa skafu na Skauti kabla ya kumwapishwa Skauti Mkuu Mhe. Mwantum Mahiza jijini Dar Es Salaam Juni 24, 2013 |
|
Skauti Mkuu mhe. Mwantum Mahiza akisubiria kuapishwa akiwa na Skauti Wabunge na Viongozi wengine wa Skauti Tanzania, Juni 24, 2013 Ikulu jijini Dar Es Salaam. |