Dar Es Salaam Local Scouts Association
Jumapili, 30 Desemba 2012
Jumapili, 23 Desemba 2012
Ijumaa, 21 Desemba 2012
Ijumaa, 30 Novemba 2012
TANGAZO - WAGOMBEA SKAUTI MKUU
Pakua Fomu ya Vigezo na Wagombea wa Skauti Mkuu kwa kubonvya Hapa!! http://www.facebook.com/groups/171718552973513/ |
Jumamosi, 11 Agosti 2012
Skauti wa Kiislam wafuturisha
Sheikh Yakub Bakari toka masjid Shahadhir Kinyerezi-Tabata akitoa mawaidha |
Skauti wa Tanzania na wa Finland kwa pamoja wakifuturu |
Skauti na waumini wengine wakisikiliza mawaidha |
Skauti wa Kiislam Mkoa Dar-Es-Salaam wakiwa katika ghafla ya kufuturisha katika mwezi wa Ramadhani tarehe 11 Agosti 2012 katika viwanja vya Makao Makuu ya Skauti Upanga Dar Es Salaam
Jumatano, 23 Mei 2012
Mwenge wa Uhuru
SKAUTI WILAYA YA ILALA WASHIRIKI KUUPOKEA MWENGE WA UHURU
Skauti wilaya ya Ilala wakiwa pamoja na wakimbiza Mwenge katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru kutoka wilaya ya Temeke kwenda wilaya ya Ilala tarehe 26/06/2012 eneo la Stesheni ya TaZara, Dar Es Salaam.
Skauti wilaya ya Iala wakiwavisha skafu wakimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa katika viwanja vya Stesheni ya TaZara, Dar Es Salaam.
Mkuu wa wilaya ya Temeke Mh. Sophia Mjema akimkabidhi Mwenge wa Uhuru
mkuu wa wilaya ya Ilala Mh. Raymond Mushi tarehe 26/06/2012 katika eneo
la Stesheni ya TaZara, Dar Es Salaam.
SKAUTI WILAYA YA ILALA WAENDESHA MAFUNZO YA UONGOZI WA KIKOSI
PATROL LEADER COURSE- (PEER EDUCATOR TRAINING)
Wahitimu wa mafunzo ya uongozi wa kikosi wilaya ya Ilala wakionyesha vyeti vyao baada ya kuhitimu mafunzo hayo katika viwanja vya makao makuu ya Skauti Dar Es Salaam. Mafunzo hayo yalianza tarehe 22/06/2012 mpaka 24/06/2012.
Kamishina wa Skauti Mkoa wa Dar-Es-Salaam Abubakar Mtitu (aliyevaa fulana ya mistari) akiwapa maelekezo ya mchezo wa kuonyesha umuhimu wa kutunza kumbukumbu washiriki wa mafunzo hayo.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo wakisikiliza jambo
Baadhi ya washiriki wa mafunzo wakiwa katika hema wakibadilishana mawazo juu ya mafunzo ya uongozi wa kikosi
Scouts Life Saving Activity
Sherehe ya kuapishwa kwa Skauti Mkuu Kanali mstaafu .O. Kipingu Ikulu jijini Dar es Salaam, mwaka 2008.
Mlezi wa Skauti Tanzania Mhe. Dkt Jakaya .M. Kikwete (Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (aliyevaa suti nyeusi). Wa kwanza kulia ni Makamo wa Rais Tanzania Mhe. Ali .M. Shein, [kulia kwa rais ni mkufunzi wa Chama cha Skauti Tanzania ndugu Ngunga.
Naibu Waziri wa Elimu, Mhe. Mwantumu Mahiza aliyevaa kofia ya kijani akibadilishana mawazo na wajumbe wa mkutano wa Skauti wa nchi za Afrika Mashariki mjini Morogoro katika kambi ya Bahati, mwaka 2008.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)